Mbinu Za Al Shaabab: Mvulana Wa Miaka 17 Atiwa Nguvuni

Mbinu Za Al Shaabab: Mvulana Wa Miaka 17 Atiwa Nguvuni

Siku chache baada ya kukamatwa kwa mwanafunzi wa shule ya upili ya Murang'a hapa jijini Nairobi,wazazi wa mwanafunzi huyo kwa jina Ali Muhsin Ali wameeleza masikitiko makubwa kuhusiana na kukamatwa kwake,kwa misingi kuwa anahusiana na kundi la Al-Shabaab. Haya yanajiri huku kamati ya seneti kuhusu usalama ikimhoji seneta wa Kaunti ya Nairobi Mike Mbuvi kufuatia taarifa yake ya awali kuhusiana na shambulizi la Westgate. Victor Wetende anatuarifu yaliyojiri.