Watu watatu wauawa kwenye shambulizi la kigaidi Lamu

Watu watatu wauawa kwenye shambulizi la kigaidi Lamu

Hisia mbali mbali zinazidi kutolewa kufuatia shambulizi dhidi ya raia wasiokuwa na hatia katika kaunti ya Lamu ambapo watu watatu waliuawa. Vikosi vya serikali vinavyojumuisha wanajeshi na polisi vimekuwa vikiendeleza msako mkali dhidi ya wana Alshabaab saa chache baada ya kuwaokoa watu sita waliokuwa wakikabiliwa na watendi hao kwenye shambulizi. Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live Follow us on   / ktnkenya   Like us on   / ktnkenya