Wakenya wengi wana mipango mipya ya mwaka mpya wa 2016. Huku baadhi wakijivinjari katika maeneo mbali mbali kuushekea mwaka mpya baadhi waliendelea na shughuli zao za kila siku wakisema wana malengo fulani mwaka mpya. Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on / ktnkenya Like us on / ktnkenya