Mkasa ya ajali kwenye barabara ya Nakuru Eldoret

Mkasa ya ajali kwenye barabara ya Nakuru Eldoret

Tunaanza taarifa zetu kwa visa vya sherehe za mwaka mpya maeneo mbali mbali ambapo. watu sita wamefariki dunia baada ya kuhusika kwenye ajali mbili tofauti mapema leo kwenye barabara kuu ya nakuru kuelekea eldoret. Huku hayo yakijiri jamaa mmoja amejipata taabani pale polisi walipomvamia kwa madai ya kuwatusi. Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on   / ktnkenya   Like us on   / ktnkenya