TBC1: Waziri Mkuu Afungukia Ongezeko la Mishahara WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema serikali inaendelea kukamilisha tathmini katika wizara na taasisi mbalimbali ili kupanga mishahara na motisha kwa watumishi baada ya kumaliza zoezi la kuondoa watumishi wasiostahili. Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo jijini Dodoma baada ya kupokea maandamano ya wafanyakazi yaliyofanyika kwa lengo la kum;pongeza Rais Magufuli kurudisha kikokotoo cha zamani katika mafao ya wastaafu. #TBCHABARI Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitte www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw.