Kwa sasa tunakupeleka moja kwa moja hadi kwa mwanahabari Frank Otieno aliyekita kambi katika eneo la Kogello atueleze jinsi wenyeji wa eneo hilo walivyofuatilia matokeo ya uchaguzi wa Marekani na jinsi walivyosherehekea baada ya Barack Obama kutangazwa kuwa mshindi Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv