Kwa muda wa chini ya masaa 24 wamarekani wataelekea kwenye debe kumchagua rais wao wa 45. Wagombea wakuu Hillary Clinton na Donald Trump wanatarajiwa kuandaa kampeni zao za mwisho katika majimbo mbalimbali katika kinyangaanyiro kilichosheheni malumbano na sakata si haba kuhusiana na wagombea hao. Mwanahabaari wetu Sam Gituku aliye washington dc anaarifu kuhusu pilkapilka za mwisho mwisho za kampeni hiyo. . Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: http://citizentv.co.ke / citizentvkenya / citizentvkenya https://plus.google.com/+CitizenTVKenya / citizentvkenya