Kinara Wa Odm Raila Odinga Aliungana Na Viongozi Wengine Kuukaribisha Mwaka Mpya Na Kuwatakia Wakenya Mwaka Mpya Wenye Mafanikio. Raila Amesema Yuko Tayari Kwenye Kampeni Za Urais Na Tajiriba Yake Ya Uhandisi Itanufaisha Nchi Iwapo Atachaguliwa Kama Rais Kwenye Uchaguzi Mkuu Ujao.