Hayo yakijiri, Naibu rais William Ruto naye amekuwa katika kaunti ya Kiambu ambako ameonekana kurejelea safari yake ya kisiasa katika mahakama ya ICC, huku akisema anatosha kuwa mrithi wa Kenyatta ifikapo mwaka 2022. Ruto pia ameendeleza shutuma zake dhidi ya wapinzani wake wa kisiasa, anaosema wanamezea mate kiti cha Ikulu