Haya hapa magoli yote mawili ya Stand United ikiichapa Alliance mabao 2-0 kwenye mchezo wa First League (Ligi daraja la pili). Tungu Robert akafungua ukurasa wa magoli kwa mkwaju wa penati huku Innocent Malya akisababisha goli la pili huku Said Ngoma wa Alliance akiusindikiza zaidi.