Je unajua Jinsi ya kupika chapati laini za Kusukuma? Jifunze jinsi ya kupika chapati laini za Kusukuma za hamira kwa njia rahisi kabisa. Chapati hizi ni laini na tamu sana zenye asili ya kituruki. mahitaji yake ni rahisi kwa kila familia. MAHITAJI; Unga wa ngano (Nusu kilo/ vikombe 4 vya chai) Maji ya vuguvugu (150ml) Maziwa ya vuguvugu (150ml) Sukari (vijiko 2 vya chakula) Hamira (vijiko 2 vya chakula) Chumvi (kijiko 1 Cha chai) Mafuta ya kupikia (vijiko 5 vya chakula) Chilli flakes Parsley/ veggies Melted butter/ olive oil