Polisi katika eneo la Ruiru ,kaunti ya Kiambu, wanawasaka wanaume watatu wanaoushukiwa kumuua kwa kumpiga risasi mwanamme mmoja mapema leo wakati yeye pamoja na mchumba wake walikuwa wakiwasili nyumbani mwao. Geoffrey Sigei na mchumba wake waliwasili nyumbani kwao na kushambuliwa na majambazi waliokuwa wamejihami,ambao walimpiga risasi tumboni . Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: / kbcchannel1 Find us on Facebook: / kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #mauaji #News