Ada za kozi ya Udereva chuo cha NIT 2026/2027

Ada za kozi ya Udereva chuo cha NIT 2026/2027

chuo Cha NIT nimiongoni mwa vyuo bora Tanzania vinavo aminika kutoa kozi ya udereva hichi ni chuo maarufu Tanzania kwenye video hii nimeongelea Ada za kujiunga na chuo hichi Cha NIT upande wa udereva watu wengi wanataka kwenda kusoma Udereva NIT hawajui waanzie wapi hii video imeeleza Kwa lugha nyepesi kabisa ada pamoja na kozi Usisahau ku subscribe