POLISI KUTOA AJIRA KWA WALIOFELI KI ELIMU? WAZIRI SIMBACHAWENE AELEZA HAYA

POLISI KUTOA AJIRA KWA WALIOFELI KI ELIMU? WAZIRI SIMBACHAWENE AELEZA HAYA

Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi George Simbachawene ametolea ufanuzi wa ajira za Polisi kuwa na elimu ya kiwango cha chini kama ilivyowahi kuwa kwenye mijadara ya jeshi hilo kuajiri waliofanya vibaya katika mitihani ya kidato cha nne.