Familia moja katika mtaa wa Kiandutu mjini Thika kaunti ya Kiambu sasa inataka majibu kutoka kwa hospitali ya rufaa ya Thika kuhusiana na kifo tata cha mwana wao anayedaiwa kuzaliwa akiwa amefariki kabla ya mamake kulazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi pasi na taarifa kamilifu. Wakazi waliojawa na ghadhabu walifanya maandamano wakitaka usimamizi wa hospitali hiyo kumkabidhi baba mzazi mwili wa mwanaye kuthibitisha iwapo kweli alifariki. #Kenya #KTNNews #KTNPrime SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: / ktnnews Like us on Facebook: / ktnnewskenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on / ktnnews Like us on / ktnnews