Rais Uhuru Kenyatta na nabu wake William Ruto hii leo waliwapokea viongozi wapatao 15 waliosi upinzani na kuwakaribisha katika chama cha jubilee. Kwenye hotuba yake, Rais Kenyatta aliwalaumu wapinzani kwa kuilaumu serikali yake ilhali wao hawana chochote cha maendeleo walichofanyia wapwani. na kama anavyoarifu mwanahabari saida Swaleh rais alitaja kuwa siasa za kujipiga kifua na kujigamba pwani hazileti maendeleo. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: http://citizentv.co.ke / citizentvkenya / citizentvkenya https://plus.google.com/+CitizenTVKenya / citizentvkenya