Timu ya Taifa, Taifa Stars imetoka sare ya bao 2 kwa 2 dhidi ya Algeria katika mechi ya kufuzu kombe la Dunia.