Maafisa wa jinai wasema marehemu Tom Osinde aliuawa kwake

Maafisa wa jinai wasema marehemu Tom Osinde aliuawa kwake

Aliyekuwa afisa wa wizara ya hazina kuu ya kitaifa Tom Osinde aliuwawa nyumbani kwake eneo la Ngata kaunti ya Nakuru kabla ya mwili wake kusafirishwa hadi kaunti ya Kisii. Haya yamebainika huku maafisa wa kitengo cha upelelezi wa Jinai wakiendelea na uchunguzi kutegua kitendawili cha mauaji haya. #CitizenTV #Kenya #news #citizendigital