#Aje #ngomma #wuodfalu Stream and download Audio 👇 https://audiomack.com/p-lenya/song/aje Follow me on Tiktok 👇 https://vm.tiktok.com/ZSeMEA8YH/ Follow me on Instagram 👇 https://www.instagram.com/invites/con... Audio by ; Emmy Dee of Dalaz Records Video by ; I-man Model ; @ Florida Aje is a heartbreaking song written and performed by P Lenya. For bookings and enquiries Email [email protected]/[email protected] or Call 0782297806/0113781552 Special appreciation to Emmy Dee (Verse 1) Wanasemaga mapenzi mmoja asiwe mbalii Hii ndo hali Kuyaweka matatanii Aiii Na kama giza navyoingiaa Ndivyo penzi linapoteaa rahisi balaa Japo mwanzoni Ilikuwa vitam matam kukolezanaa Eeeh Lile huba la utotoni tulizoena Jamani moyo wangu Nahisi uliondoka naoo Fikra kibaoo Kwanini balaa (Hook) Maumivu ulioniachia mi bado haijapona Kila siku nawaza ni lini mpenzi nitakuona Si rahisi kusahau yote tulioshare pamoja Sina jinsi ila najipa moyo ipo siku nitakuona (We ndo mpenzi maridhia) (Chorus) AJE AJE Asikawie aje AJE AJE Nimemtamani mi na moyo wangu AJE AJE Mapenzi jama,na sina jinsi jamani AJE AJE Mwambieni aje AJE AJE ye ndo nafuu yangu AJE AJE Mwambieni aje AJE AJE Aaaaaaje (Verse 2) Ukimya chako kimezua kwangu mengi maswali Ama hivi unijali Umeshindwa nijulia mi hali Mmmh aaah Uchungu naohisi tena ndani kwa ndani Kuna nini mamaa Ama ushachenji ramani Najua mjini kuna shida matatizo balaa Pia kuna kulala na njaa Wasiwasi mpka nakata tamaa (Hook) Maumivu ulioniachia mi bado haijapona Kila siku nawaza ni lini mpenzi nitakuona Si rahisi kusahau yote tulioshare pamoja Sina jinsi ila najipa moyo ipo siku nitakuona (We ndo mpenzi maridhia) (Chorus) AJE AJE Asikawie aje AJE AJE Nimemtamani mi na moyo wangu AJE AJE Mapenzi jama ,na sina jinsi jamani AJE AJE Mwambieni aje AJE AJE ye ndo nafuu yangu AJE AJE Mwambieni aje AJE AJE Aaaaaaje #wuodfalu #Wuodfalu Aje official video • P lenya - Aje [official music video] Send ... ©2021 Administered by Ngomma VAS Limited.