Mwanzo 18:21 Hivyo nitashuka kwenda huko nijionee mwenyewe kama kweli wamefanya kadiri ya kilio kilichonifikia. Nataka kujua.” Katika lango la mwaka 2025 tumeona ni vyema tumwite Yesu ashuke kwaajili yetu mwaka huu Akishuka shida zetu, changamoto zetu na kilio chetu vyote vimepata majibu Je ungetamani YESU ashuke kwako mwaka huu?? Karibu tubarikiwe na wimbo huu Credits: Venue :CCC Upanga Video Directed by :Amijoji Company Audio Capturing : Gadi Audio Mixing &Mastering :Baraka Ngowi Backline :Haddypro Company Limited Lights :Visual Matters Decor :SimplySpecialEvents Connect with us Via: Mobile :+255 710 087 353 Whatsapp: https://wa.me/c/255710087353 Email :[email protected] Instagram : / agapegospelband Tiktok: / agapegospelband Twitter: / agapegospelband Facebook: / agapegospelband