Hayati Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania amezikwa leo jioni Chato Ibada maalum iliandaliwa kumuaga marehemu Magufili kabla ya mazishi Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassanna marais wastaafu walihudhuria mazishi Hayati rais Magufuli alifariki tarehe 17 Machi kutokana na ugonjwa wa moyo Magufuli ni rais wa kwanza nchini Tanzania kuaga dunia akiwa mamlakani\ Watanzania katika miji sita wamemuomboleza Magufuli kwa wiki moja