Bunge la kaunti ya Nandi laazimia kwenda mapumzikoni
Bunge la kaunti ya Nandi limekwenda likizo fupi ili kuwawezesha wakilishi wa wadi kupata chanjo dhidi ya Covid-19 na vilevile majengo ya bunge kunyunyIziwa dawa za kuzuia msambao wa virusi vya Corona.